Pia inaleta hofu kubwa kuelekea Afrika Kusini, tunajua kuna uhalifu mkubwa na tunaelewa changamoto zinazowakabili wananchi wa Afrika Kusini kwa sasa hivyo unaanza kuhoji aina ya mapokezi ambayo unaweza kupata
Simba anapaswa kijiandaa vyema kukabiliana na mpinzani wenye sifa ya kushinda au kulazimisha sare ugenini ile imani ya kwa Mkapa hatoki mtu isiwe sababu ya msingi.
Kifupi nao ni 'washamba' kama si wageni na njia naamini ni nafasi ya Simba kusonga mbele kama watakuwa na matumizi mazuri Estadio de Mkapa hiyo April 14.