Shirikisho Afrika

Saa nane mchana Pryamid FC watakuwa Mwanza.

Sambaza....

Baada ya Antonio Nugaz kutokuwa na taarifa sahihi ya lini Pryamid FC watakuwa Mwanza, Kandanda.co.tz iliamua kufuatilia kwa ukaribu ujio wa Pyramid FC .

Tulimtafuta Moses William ambaye ni mwandishi wa habari ambaye anafanya kazi kwa ukaribu na Chama cha soka Mwanza, mwandishi huyo kutoka Mwanza amedhibitisha kuwa Chama cha soka Mwanza kinayotaarifa kwa Pyramid kufika saa nane Mwanza.

“Kunamabadiliko ya ratiba, sasa klabu ya Pyramids FC itatua mkoani Mwanza leo saanane mchana, hapo awali ilikuwa wangefika Usiku lakini Taarifa kutoka Chama Cha soka mkoani Mwanza kimetoa taarifa hiyo”


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.