Kipigo cha Simba Kilivyovunja Rekodi ya Mabao kwa Yanga
Katika mchezo huo Yanga walifanikiwa kupiga mashuti sita yaliyolenga lango lakini yote yaliishia mikononi mwa mlinda mlango wa Simba Ally Salim huku Fiston Mayele pekee akipiga mashuti matatu yaliyolenga lango.