Nabi Nasraddine Ndani ya Kitabu cha Kumbukumbu Yanga!
Raoul Shungu na kikosi cha dhahabu hakuna wa kumsahau mitaa ya Jangwani . Aliifanya Yanga kuwa imara akiipa vikombe na heshima ukanda wa CECAFA.
Habari mpya, kuu, mpya au yenye mvuto kwa siku hiyo.