Aidha pia mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtazar Mangungu ameizungumzia Simba day ya mwaka huu huku pia akijinasibu kuwa wao ndio waanzilishi wa Tamasha hilo.
Ukaguzi huo umehusisha Uwanja wa Benjamin Mkapa, Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Julius Nyerere, hospitali ya Taifa Muhimbili, Uwanja wa Uhuru, na viwanja vingine vya mazoezi.
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kimejichimbia nchini Uturuki kujiandaa na michuano ya Kitaifa na Kimataifa lakini kubwa zaidi ni michuano mipya ya Super Cup