StoriBado Yanga Inahitaji Ufufuo wa Aziz Ki Iwe Bora Zaidi.Tigana Lukinja9 months agoNarudia tena! Endapo miguu yake itatoa kitu bora kama kama ilivyokuwa matarajio ya wengi basi naiona Young Africans bora kupitia miguu yake!
StoriKwa Huyu Che Malone Achaa Tu Nimalize Maneno.Thomas Mselemu9 months agoJapo bado sina hakika kama anauwezo mkubwa katika kuwakabili washambuliaji wenye kasi.
StoriMshambuliaji Yanga Haeleweki.Tigana Lukinja9 months agokumuonesha mwalimu miye nastahili kuanza kikosi cha kwanza mwishoe akashindwa kufanya vyema kabisa.
StoriMatamasha Yetu, Mashabiki, Pesa na JamiiVicent Crement9 months agoMwingine atajiuliza kivipi ilihali tunaona yamefana kwelikweli? Basi nikutoe shaka Kandanda.co.tz iko hapa kukutoa wasiwasi huo;
StoriSimba ni Vita ya Kisasi na Historia Kesho.Mwandishi Wetu9 months agoKatika michezo miwili waliyokutana msimu uliopita wawili hao Simba alipata ushindi nyumbani na sare ugenini dhidi ya walima alizeti hao.
StoriHatimae Nguvu ya Pesa Imeshindwa PSG.Tigana Lukinja9 months agoNasser Al-Khelaifi muda huu lazima akubali kwenda bila haya majina makubwa sababu huenda yanachelewesha sana mipango yao
StoriFahamu kwa Undani Mashindano Mapya Watakayoshiriki SimbaMwandishi Wetu9 months agoLakini pia maelezo ya utangazaji na urushaji wa moja kwa moja wa michezo ya Super League bado hazijatangazwa rasmi.
StoriYanga Kamili Kutua Tanga Kutetea Taji LaoMwandishi Wetu9 months agoKama Wananchi watapa matokea ya ushindi katika mchezo huo utakaopigwa Jumatano usiku basi watakwenda fainali
StoriSimba Yafanya Shoo ya Kibabe Mbele ya Mashabiki Wake Lukuki.Mwandishi Wetu9 months agoAma kwa hakika mashabiki wa Lunyasi wamewaona wachezaji wao wapya waliokua na kiu ya kuwatazama baada ya kusajiliwa na klabu yao.
StoriMnyama Anavyodhihirisha Unyama WakeTigana Lukinja9 months agoKuhusu kujaza uwanja kwao sio shida zao sababu ni jambo rahisi sana kwa Simba na Tamasha lao