Mabingwa AfrikaPengo la huyu mchezaji litawatesa SimbaMartin Kiyumbi5 years agoKuna aina ya wachezaji wawili uwanjani. Aina ya kwanza ni mchezaji bora na aina ya pili ni mchezaji muhimu. Hawa wote hukaa kwenye timu moja.
Mabingwa AfrikaKocha Aussems aanika “game plan” yake dhidi ya AS Club Vita.Sekwao Mwendi5 years ago“Tunajua wataanza kutushambulia kwa kasi kama ilivyo kawaida kwa klabu kama Vita katika michezo yake ya nyumbani”
Mabingwa AfrikaUgumu wa Simba kushinda uko hapaMartin Kiyumbi5 years agoKesho Klabu ya Simba itacheza na Association Sportive Vita ( As Vita) katika uwanja wa Stade des martyrs wenye uwezo wa kubeba mashabiki 80,000.
Mabingwa AfrikaManara: Simba inahitaji dua, inshaallah itashinda.Sekwao Mwendi5 years agoSimba ipo nchini DRC tayari kwa mchezo wa klabu bingwa dhidi ya AS Vita Club.
Ligi KuuMabingwa Afrika“ YES WE CAN” ilianzia Klabu Bingwa itaishia kwa Yanga.Sekwao Mwendi5 years agoFursa za Simba kushiriki michuano ya kimataifa zimebaki mbili tu, kuchukua kombe la klabu bingwa Afrika au TPL. JE inawezekana kirahisi?
Mabingwa AfrikaSimba yaenda Congo, mshambuliaji mmoja abaki!Thomas Mselemu5 years agoSimba inakwenda kucheza mchezo wa pili katika hatua ya makundi.
Mabingwa AfrikaSimba watoa msimamo wao kuhusu safari ya Congo.Thomas Mselemu5 years agoSimba itacheza na AS Vita katika mchezo wale wa pili wa makundi.
Mabingwa AfrikaAsipokuwepo yeye, Simba inakuwa uchochoro, ni nani huyoo…..?Sekwao Mwendi5 years agoni mzuri kukaba kwa kutokea nyuma (blind side defending).Kwa kule Ulaya bila shaka N'Golo Kante, Sergio Busquet, na Casemiro wanazijua kazi hizi kwa usahihi mkubwa.
Mabingwa AfrikaHesabu za kuipeleka Simba robo fainali.Thomas Mselemu5 years agoSimba inatakiwa kukusanya alama zote 6 kutoka kwao kutokana na ukongwe wao Africa
Mabingwa AfrikaMatukio ya Mchezo wa Ligi ya Mabingwa, Simba vs JS Saoura katika picha.Issack John5 years agoSimba walishinda kwa jumla ya mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura, Mabao yaliyofungwa na Emmanuel Okwi na Meddie Kagere.