Tumkumbuke kupitia hospitali ya kimataifa ya Dodoma, tumkumbuke kupitia barabara na pia tumkumbuke kuwa ndiye aliyejenga huu uwanja lakini tuvae miwani ya kibiashara.
Nawaomba msiuite uwanja huu kwa mchina, uwanja huu hatukupewa zawadi na China, usijenge “concept” kwa watoto kuwa tulipewa zawadi, unaitukana kodi ya Mtanzania”