Sambaza....

Klabu ya Yanga, leo hii wanashuka Dimbani kutafuta tiketi ya Makundi Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh kutoka Sudani pale Chamazi.

Ikumbukwe, Yanga wanamtaji wa Magoli mawili kwa sifuri.

Ubunifu wa klabu hii katika kuzibrand mechi zake ni kivutio kikubwa sana kwa washabiki wake.

Washabiki wa Wawili wa Kwanza kutabiri Matokeo ya mechi hii katika eneo la maoni, atajishindia Jezi ya Azizi Ki.

Matokeo ni Yanga 1- 0 El Merrekhi. Hivyo hatuna mshindi. Tukutane kesho Simba vs Power Dynamo

Tumia email yako ya gmail kutabiri matokeo kabla ya saa moja kamili. Mshtue na rafiki yako atambe ki Aziz Ki.

Sambaza....