Mashabiki wa Simba wakiwa wameshika mataji na kapu wakifurahia ushindi dhidi ya Mtibwa (picha na Catherine Mbaga)
Ligi Kuu

Mechi ngumu funga Ligi Kuu

Sambaza....

Ligi Kuu Tanzania Bara imeshapata bingwa wake, Mabingwa mara 28 wa kombe hilo,Yanga SC. Zifuatazo ni mechi ambazo zinachezwa siku ya alhamisi kwaaajili ya kufunga Ligi Kuu.

Timu zote zitakuwa zikikamilisha michezo yao 30 kwa kila timu.Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.