Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Blog

Kocha Yanga: Ratiba ni Ngumu Lakini Tutafikia Malengo

Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Kagera Sugar kocha na kiungo wa timy hiyo wametema cheche walipokua wakiongelea mchezo huo mbele ya Waandishi wa habari Denis Nkane aliyeongea kwa niaba ya wachezaji wenzake amesema malengo yao yapo palepale yakutwaa ubingwa na wapo tayari kufanya vyema...
Blog

Mfaume Mfaume na Idd Pialari ni mpaka mtu afe

Achana na "Derby" ya kwenye kandanda kati ya Simba na Yanga ambayo ndio maarufu hapa Tanzania na Afrika pia kutokana na upinzani mkubwa wa wawili hao kuna hii "Derby ya kwenye masumbwi "mchezo wa ngumi" kati ya Mabibo na Manzese. Kuna lile pambano lilifanyika pale Jijini Arusha katika usiku wa...
1 2 3 4 66
Page 2 of 66