Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuandika na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Tuna wachezaji wengi hata sisi pia, huyu (Bumbuli) amesema maneno mengi, hata sisi tuna wacheza kutoka Ivory Coast, Cameroon na wengine wanatoka hapahapa Tanzania pia.
Licha ya uwepo wa wasanii wakubwa nchini kama Harmonise, G nako, Juma Nature na Msaga Sumu lakini burudani itabaki palepale katika mpira wa miguu ambao mashabiki wa Yanga.
IJUMAA Tar 28 August 2020 tumeingia rasmi makubaliano ya mkataba wa udhamini wa Klabu ya Jiji la Mbeya ‘Mbeya City’, ambayo inashiriki michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara katika msimu huu wa 2020/2021.
Rashid Juma ni zao la Simba B ambapo alifanya vizuri akiwa chini ya Mwalim Mussa Hassan Mgosi na kupelekea kupandishwa kikosi cha wakubwa kilichokua chini ya Patrick Auseems
Kitendo hicho kimewafanya Yanga kuachana na kocha huyo na kuamua kurudi tena katika maombi ya mwanzo na kuanza kutafuta kocha mpya haraka iwezekanavyo.
Klabu ya soka ya Simba imecheze michezo miwili ya kirafiki katika uwanja wa Uhuru na kuibuka na ushindi katika michezo yote hiyo ambayo ilifanyika majira ya asubuhi
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz