Mchambuzi na Mkufunzi wa Mpira wa miguu. Tigana hufanya uchambuzi katika vituo mbali mbali vya redio na luninga. Mchezaji wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania bara.
Nafahamu siku zote picha moja ina tafsiri rasmi na zisizo rasmi 1000 kutokana na mapokezi yako Katika picha hii ni Makocha wawili wa @simbasctanzania kwa wakati huu Juma Mgunda na Seleman Malola. Kwenye tafsiri yangu ya kwanza ni kuonesha ushirikiano wa hawa watu wawili kwenye benchi la ufundi Hali hii...
Kuna swali limekuwa likiulizwa sana kwangu iwe DM au kwa njia yeyote ile Kuhusiana na mazingira Ya mchezaji kushangilia goli kwa kuvua jezi wakati alikuwa na kadi ya njano