Mchambuzi na Mkufunzi wa Mpira wa miguu. Tigana hufanya uchambuzi katika vituo mbali mbali vya redio na luninga. Mchezaji wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania bara.
Wapo wale manguli ambao hawana hofu na lolote ana namba ya kudumu ndani ya timu amejiamini na kuaminika ana uhakika wa kuwepo yeye anachowaza ni dau kuongezeka tu kila msimu.
Naona Wananchi kwenye vita vingine baada ya fainali ya kupambana kumbakiza tunaposema mpira si mchezo wa siri kama unajua unajua tu na utaonekana hadharani
Shughuli inakuja kule kwa wajanja wenzetu wa juu zaidi' intensity' ya mchezo huwa inaenda kuwa juu yake kasi na kujiamini huwa vinamuelemea na kupoteza kabisa uwezo wake
Kuna mtu ananiambia dhamana ya Yanga kusonga mbele ipo. Mikononi mwa hawa jamaa ,unaweza kuwaita 'Wakombozi wa ngambo'. Nilivyouliza una maana gani kwenye hoja yako? majibu yake yalikuwa mepesi tu 'nyumba ni mlango' Diarra akiamua kuufunga mlango kisawasawa basi usalama ni 100% Nikamuuliza vip Aziz Ki (Azizi ufunguo ) akaniambia...
Usipo kuwa na jicho la kiufundi huwezi kuona mchango wake wa moja kwa moja kwa kuwa play style yake haina 'mbwembwe' hajui na hajajaliwa nakshi nakshi nyingine.
Wapwa : Waswahili wanao msemo wao kufa kufaana ….. Baada ya kamati ya saa 72 kumfungia Bernard Morrison kucheza michezo mitatu ya ligi kuu ya NBC itakayofuata Ambao ni dhidi ya Ruvu shooting ,Namungo na Simba sports baadaye mwezi October Kuna maswali mengi nimekuwa naulizwa kubwa kuliko wengi wa akiuliza...