Tahariri

Tahariri

Kongole kwa Wananchi!

Mwongoza njia Nasrdin Nabi  yeye ndie pekee alikuwa anajua ni njia gani anawapitisha japo ilikuwa na miba lakini mkapita salama kwa sare ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam
Tahariri

Edward Songo: Dhahabu Iliyochanganyika na Mchanga

Pengine ni kawaida yetu Watanzania kutupia macho kwa mapacha wawili wa Kariakoo, pengine ni utaratibu wa baadhi ya nchi kutotupia macho kwenye vipaji vya madaraja ya chini.Nimeshuhudia wachezaji wengi wanaocheza kwenye zile timu zetu kubwa wakiwa na uwezo wa kawaida tu huku vipaji maridhawa vikiwa vinaoza mikoani au timu za...
Tahariri

Jinsi Chama na Saidoo wanavyoikaba Simba!

Pia kwakumpanga Saidoo namba 10 halafu Chama winga moja na winga nyingine huanza Sakho, ambapo mara nyingi Chama huingia ndani na kumfanya Shomary Kapombe au Mohamed Hussein kupanda na kushambulia kwakutokea pembeni na hapa ndio tatizo lapili huonekana.
1 2 3 4
Page 3 of 4