Tumemkaribisha Rais nyama inayotoka kwenye ng’ombe asiye na Afya.
Mengi ya maswali huwa ni magumu kupata jibu lake kipindi ambapo unapokosa kipaumbele katika maisha yako, ndiyo maana hata nilipokuwa mtoto mdogo nilikosa jibu zuri la kumpa baba aliponiuliza kipi ninapenda kati ya somo la hesabu au kuhesabu pesa zangu. Kichwa kilikuwa kizito kutoa jibu la moja kwa moja kwa...