AFCON U17

Ninje, Amunike waongoza kliniki ya kusaka vipaji Mwanza.

Shirikisho la soka nchini ‘TFF’ limendesha kliniki ya kusaka vipaji vipya kwa vijana iliyofanyika kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza, kliniki ambayo imeendeshwa na kusimamiwa na Mkurugenzi wa ufundi, Ammy Conrad Ninje na kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Emmanuel Amunike. Kliniki hiyo ambayo imehusisha vituo vya kulea...
ligi kuutpl

Alliance waipigia mazoezi ya kijeshi Biashara United.

Klabu ya soka ya Alliance ya jijini Mwanza chini ya kocha Malale Hamsini Keya imeendelea kujifua katika uwanja wa Nyamagana uliopo katikati ya jijini la Mwanza kwa ajili ya michezo ijayo ya ligi kuu soka Tanzania Bara. Malale ambaye hajashinda mchezo wowote toka alipochukua kijiti cha kocha Mbwana Makata aliyetimuliwa...
blog

Chirwa kuanza kuichezea Azam raundi ya pili.

Klabu ya soka ya Azam imewapa mapumziko wachezaji wake hadi Jumatatu watakapoingia kambini rasmi kujiandaa na mchezo wa ligi dhidi ya Wanatam Tam Mtibwa Sugar, Disemba 29 mwaka huu kwenye uwanja wa Manungu Complex mkoani Morogoro. Kubwa zaidi kuelekea katika mchezo huo ni kuwepo kwa mchezaji wa kimataifa Obrey Chirwaambaye...
1 2 3 21
Page 1 of 21
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz