Abdallah Saleh

Mchambuzi
Mchambuzi wa habari za mpira wa miguu katika kituo Times FM.
Blog

Baada ya kufuzu, kocha wa Madagascar aula

Shirikisho la soka la Madagascar, limeongeza mkataba wa kocha wa timu ya taifa ya nchi hiyo Nicolas Depuis hadi mwisho wa fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) Depuis, anapata nafasi ya kuiongoza Madagascar kwenye fainali za kwanza kwenye historia ya taifa hilo Kocha huyo mwenye umri wa miaka 51, ambaye...
EPL

Pochettino afungiwa mechi mbili

Pochettino, pia atatakiwa kulipa faini ya paundi 10,000 na kufungiwa kwake kutamfanya akose mchezo wa ugenini dhidi ya Southampton na ule wa nyumbani watakaoikaribisha Crystal Palace
Sportpesa

Simba SC, kuisaka tiketi ya Liverpool

Mabingwa wa soka Tanzania bara, Simba SC, wanataraji kushuka dimbani leo kuwavaa Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa fainali ya michuano ya Sportpesa Super Cup utakaopigwa majira ya saa 9:00 alasiri kunako uwanja wa Afrah mjini Nakuru Simba SC, imefika fainali baada ya kuzitoa timu za Kakamega homeboys na...
1 2 3 17
Page 1 of 17
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz