penati aliyomfunga Aishi Manula katika mchezo wa ngao ya jamii, mwaka 2017? “PANENKA PENALTY GOAL” licha ya Simba kuibuka na ushindi lakini penati ya fundi huyo ilionekana kuwa bamba wengi
Amesema baada ya matokeo hayo sasa anajiandaa na mchezo ujao dhidi ya Singida United ambao anaamini vijana wake watajituma na kutafuta ushindi ili kuendelea kujiweka katika msimamo wa ligi.
Yahya anakuwa mchezaji wa pili ndani ya muda mfupi kutoka Azam kujiunga na timu za nchini Misri baada ya kiungo Himid Mao kujiunga na Petrojet mwaka jana,
Rishald ameongeza kuwa nafasi kubwa ya kuonesha nia ya kutaka kubaki ipo kwenye mchezo wa Jumanne hii dhidi ya Mtibwa Sugar utakaofanyika kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Afisa habari wa Mtibwa Sugar Thobias Kifaru Ligalambwike amesema msafara umeondoka ukiwa na matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi katika mchezo huo, ukizingatia mchezo uliopita waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC.
Katika mchezo huu Mbao wametuzidi kwenye eneo la kiungo, walikuwa bora zaidi na ndio maana walituzidi sana kwenye mchezo wa leo, niwape sifa kwa kuwa walikuwa bora kimbinu,