Ligi Kuu

Ligi Kuu

Mbao: Tunaimani kubwa na Ally Bushiri.

Klabu ya soka ya Mbao ‘Wabishi’ umewatoa hofu baadhi ya mashabiki wa timu hiyo, wenye wasiwasi na uwezo wa kocha Ally Bushiri kuwa wanaimani kubwa na kocha huyo kuwa ataleta mafanikio yaliyoachwa na makocha Ettiene Ndayiragije na Amri Said. Msemaji wa klabu hiyo Clisant Malinzi amesema wameuona uwezo wa kocha...
Ligi Kuu

Wanayanga mkoani Simiyu wajitabiria ubingwa wa TPL.

Mashabiki wa Timu ya soka ya Yanga kutoka Tawi la Meatu lililopo wilayani Meatu Mkoani Simiyu wamesema licha ya baadhi ya Mashabiki kutoka timu pinzani kuwabeza kuwa ni ombaomba wanaamini kikosi hicho kilichopo chini ya kocha raia wa kongo Mwinyi Zahera kitachukua ubingwa wa ligi kuu bara msimu wa Mwaka 2018/19.
Ligi Kuu

Zahera atoboa siri ya Yanga kufanya vizuri TPL.

Kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema shida ambazo klabu hiyo imekumbana nazo ndizo zimewapa morali ya kupambana na kupata matokeo chanya kwenye michezo ya ligi mpaka sasa. Zahera amesema wakiwa kambini mkoani Morogoro kabla ya kuanza kwa ligi alikaa na wachezaji wake na kuwaomba kuungana na kuwa wamoja lakini...
Ligi Kuu

Zahera awagomea Maproo wa Yanga, kumuombea radhi Kakolanya.

Kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amekubali ombi la kukutana na baadhi ya wachezaji wa timu hiyo hapo kesho lakini kwa sharti la kutozungumzia suala linalomuhusu mlinda mlango Beno Kakolanya. Zahera ameuambia mtandao huu kuwa alipata taarifa kuwa kuna wachezaji waliowahi kuichezea Yanga wametaka kuzungumza naye lakini katika kudodosa alifahamu...
1 53 54 55 56 57 94
Page 55 of 94