Mashindano

Ukurasa maalumu kwaajili ya mashindano makubwa yote tunayoweza kuandikia katika bara la Afrika na Ulaya pekee. Mshindano mengine habari zake zinaingia katika sehemu ya Blog

Mabingwa Ulaya

Spurs yawangojea Juve waje machinjioni tu!

Hakika ulikuwa ni mchezo mzuri sana, wakuvutia na uliojaa ushindani mkubwa kutokana na namna ambavyo timu zilivyocheza, uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na matumizi ya mbinu kitimu ni vitu ambavyo viliingeza ugumu kwenye mchezo huuMIFUMO; Juventus waliingia katika mchezo huu wakitumia mfumo wao wa 4-3-3 flat, kwa maana ya Giorgio...
Mashindano

Kocha St Louis amsifu kipa

Kocha mkuu wa St Louis ya Shelisheli, Ourlie Mathiot, amesema kuwa golikipa wake ndiye alikuwa kikwazo cha Yanga kuweza kupata mabao mengi katika mchezo wa leo uliowakutanisha na mabingwa hao wa Tanzania Katika mchezo huo wa ligi ya mabingwa Afrika hatua ya awali, ambao Yanga wameibuka wababe kwa ushindi wa...
ASFC

Yanga sc yapewa mtihani mwingine

Yanga sc itakumbana na Majimaji FC katika hatua ya 16 bora, ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) Katika droo iliyofanyika leo kunako kituo cha Azam TV, michezo yote ya hatua hiyo ya michuano ya kombe la shirikisho la soka nchini (TFF) imepangwa kufanyika Februari 22 na 25 Pia...
ASFC

Yanga chupuchupu kwa kwa Ihefu FC

Klabu ya soka ya Yanga imetinga hatua ya 16 bora ya kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada kupata wa mabao 4-3 kwa njia ya penati Golikipa Youth Rostand ndiye shujaa wa Yanga kwa siku ya leo baada kupangua penati tatu, na kuiwezesha timu yake kutinga hatua ya 16...
Mataifa Afrika U17

Mwakyembe aitembelea Serengeti boys

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, leo hii Jumamosi Januari 20, 2018 ameitembelea kambi ya timu ya taifa ya vijana walio chini ya wa miaka 17, Serengeti boys iliyopo kwenye hostel za shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF Katika ziara hiyo Mwakyembe aliweza kuona jinsi...
Mapinduzi Cup

Azam fc yatetea ubingwa wake

Klabu ya Azam fc imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa kombe la mapinduzi, baada ya kuilaza URA kwa penati 4-3 kufuatia matokeo ya sare ya 0-0 katika dakika 90 za kawaida Katika mchezo huo ulioamuliwa na mwamuzi Mfaume Nassor aliyesaidiwa na Mbaraka Haule na Dalila Jaffary, ukihudhuliwa na Rais wa Zanzibar...
Mapinduzi Cup

Yanga yaizima Zimamoto 1-0

Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, imeendeleza ubabe wake katika michuano ya kombe la mapinduzi baada ya kuitandika Zimamoto kwa bao 1-0 kwenye wa kundi B uliopigwa usiku huu kunako uwanja wa Amani, mjini Zanzibar Bao la Yanga limefungwa na kiungo wake wa ushambuliaji Emmanuel Martin kunako dakika ya...
Kombe la Dunia

‘Msituumizie’ katika kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Uingereza itashiriki pia katika michuano ya kombe la dunia huko Urusi. Kocha mkuu wa kikosi hicho, Gareth Southgate, ameruhusu wachezaji wake kuongozana na Wake na Wapenzi  (WAGs -Wife and Girlfriends) wao katika michuano hiyo. Hapa tumekuwekea picha ya warembo mbali mbali ambao huenda wakawasindikiza nyota wa michuano...
1 61 62 63 64
Page 63 of 64