
Timu ya Taifa ya Uingereza itashiriki pia katika michuano ya kombe la dunia huko Urusi. Kocha mkuu wa kikosi hicho, Gareth Southgate, ameruhusu wachezaji wake kuongozana na Wake na Wapenzi (WAGs -Wife and Girlfriends) wao katika michuano hiyo.
Hapa tumekuwekea picha ya warembo mbali mbali ambao huenda wakawasindikiza nyota wa michuano hii mikubwa Duniani.
Kimberly Crew, Mke wa golikipa wa Uingereza, Joe Hart
Perrie Edwards, mpenzi wa Alex Oxlade-Chamberlain
Paige Milian, Mpenzi wa Raheem Sterling
Katie Goodland, Rafiki wa Harry Kane
Rebekah Nicholson, rafiki wa Jamie Vardy
Ruby Mae, Mpenzi wa Dele Allis
Sam Cooke, mpenzi wa Chris Smalling
Daniela Casal, Mpenzi wa Eric Dier
Annie Kilner — Kyle Walker
Unaweza soma hizi pia..
Mechi Iliyoamua mshindi hatua ya Makundi Kombe la Dunia
Hii ilikuwa ni Kombe la Dunia mwaka 1950, mechi ya Uruguay dhidi ya Brazil. Mechi ambayo iliamua mshindi hatua ya makundi.
Brazil na maajabu ya herufi “R”
Ukiangalia mafanikio ya Brazil kwenye kikosi chao cha mwaka 2002 kulikuwa na wachezaji 8 ambao majina yao yanaanza na R hivyo huwa tunaita kizazi cha "R".
Ghiggia, ‘Jini’ aliyepeleka balaa Maracana 1950
Vilevile Ghiggia ndiye mchezaji wa mwisho aliyekuwa amebakia wa vikosi vya pande zote mbili vya Brazil na Uruguay vilivyoshiriki katika fainali ile ya kihistoria ya mchezo wa Kombe la Dunia mwaka 1950.
Tanzania kuwajua wapinzani wake leo!
Baada ya kufanikiwa kuwaondosha Burundi katika hatua ya awali sasa Tanzania inasubiri upangwaji wa makundi ili kuweza kuanza safari ya kufuzu kombe la Dunia nchini Qatar.