Kabla ya mpira kwenda mapumziko Namungo walichomoa bao hilo kupitia kwa Salum Kabunda aliyenufaika na makosa ya Ally Salim kwa kushindwa kuuokoa mpira wa kona vyema uliopigwa na Shiza Kichuya.
Lakini kwa upande wa kocha Wydad alionekana kama kutokubaliana na maamuzi ya refa wa mchezo huo na atajiandaa na mchezo ujao ili ashinde na kusonga mbele hatua inayofuata.
Bado matumaini na macho ya Wanakandanda yanabaki wa washambuliaji wawili kutoka Congo Jean Baleke na Fiston Mayele. Hakika mchezo wa watani upo mikononi mwao kesho.
Goli la tatu Baleke alilifunga katika dakika ya 34 kwa kupata pasi ya kichwa kutoka kwa Shomary Kapombe baada ya kuunganisha mpira wa juu uliopigwa na Sadio Kanoute "Putin".