AFCONAfcon!? Twenzetu Tena na Hawahawa Tulionao!Tigana Lukinja8 months agoNdio ni hii Taifa Stars ambayo tulicheza AFCON 2019 baada ya kushinda mchezo wetu dhidi ya Uganda ndani ya Mkapa Stadium leo kwanini isiwezekane?
UhamishoMtanzania Mwingine Kukipiga Ligi ya Mabingwa UlayaAbdul Mkeyenge8 months agoalijiunga na Makabi Tel Aviv akianzia timu ya vijana kabla ya kupandishwa na wakamuuza Ubelgiji katika klabu ya Zulte Waregem.
TetesiNovatus Dismas Kutimkia UingerezaMwandishi Wetu12 months agoKulingana na Daily Mail, Southampton na Middlesbrough wana nia ya kumsajili Novatus Miroshi wa Zulte Waregem. Mtanzania huyo mwenye umri...
TahaririKuna Haja ya Nchi Kuwapa Maua Yao Hawa Kina SammataAbdul Mkeyenge12 months agoZamani tulikuwa na kundi dogo la wachezaji wanaocheza nje. Hawakuwa wanafika hata watano, lakini hivi sasa tunaweza kuita wachezaji 17 wanaocheza nje bila kujumuisha wachezaji wa ndani.