Tetesi

Usajili wa Yanga sasa ni zamu ya mshambuliaji wa Simba

Sambaza....

Mshambuliaji wa Ndanda Fc, Vitalis Mayanga wakati wowote atatambulishwa kama mchezaji wa Yanga sc kwaajili ya msimu ujao.

Ikumbukwe hapo kabla Mshambuliaji wa klabu ya Ndanda Fc, Vitalis Mayanga, alisajiliwa na klabu ya Simba Sc kwaajili ya michuano ya ligi ya mabingwa Afrika. Tetesi tulizozipata ni kuwa sasa atatua Katika klabu ya Yanga.

Mayanga (Kulia)

Je Mayanga alikuwa katika orodha ya wachezaji ambao Mwinyi Zahera aliwahitaji? Bila shaka yawezekana ndio, ni aina ya wachezaji wazuri kabisa kwa kikosi cha Yanga kwaajili ya ushindani.

zaidi zinafuata…


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.