Usajili wa Yanga sasa ni zamu ya mshambuliaji wa Simba
Mshambuliaji huyo makini wa Ndanda, huenda alikuwa katika orodha ya majina ambayo Mwinyi Zahera aliacha wakati akiondoka kwenda kuungana na kikosi cha timu ya taifa ya Congo.
Tanzania imesheheni washambuliaji kibao!
Pengine kufanya vizuri kwa Mbwana Samata akiwa Krc Genk kumefungua njia kwa vijana wetu: