- AZIZ KI vs KIBU DENIS
- Madrid 3, City 3. Ya Kibabe
- Fact na Dhana Tofauti Mpira wa Aziz Ki
- 10/10 Wachezaji wa Yanga vs Mamelod
- Yanga Baba Lao Afrika, Simba Mmmh!
Ajibu kwenda TP Mazembe
Hatimaye TP Mazembe hawataendelea na mazungumzo ya kumuhitaji kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib ambaye mkataba wake umeisha kuitumikia klabu ya Yanga.
Barua pepe iliyotumwa kwa klabu ya Yanga, imeeleza wazi kuwa wamejiondoa kutafuta huduma ya Ajibu baada ya kushindwa kukubaliana naye. Tetesi zinasema Ajib alitaka malipo makubwa zaidi.
Subscribe
Login
0 Maoni