Real Madrid na Manchester United Klabu Zenye Thamani Zaidi Duniani
Tangu Forbes waanze kuchapisha orodha ya timu zenye thamani kubwa zaidi za kandanda duniani mwaka 2004, ni Real Madrid na Manchester United pekee ndizo zimeorodheshwa katika tano bora