Stori

Buguruni Wamefikiwa na Odds Kubwa Kutoka Meridianbet

Sambaza....

Meridianbet na wateja wao ni damudamu hiyo ni baada ya kuendelea kuhakikisha inawafikia wateja wake katika maeneo mbalimbali nchini, Mapema leo mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefanikiwa kuzindua duka jipya mitaa ya Buguruni Malapa jijini Dar-es-salaam ambalo litawasaidia wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani kubashiri bila bughudha yeyote.

Utaratibu umeendelea kudumishwa na kampuni hiyo inayoongoza kwa kuwa na ODDS KUBWA na Bomba hapa Tanzania kuzindua maduka na kuonyesha kuwa wanawajali sana wateja wao ambapo hupenda kubashiri kwa kutumia Meridianbet. Lakini vilevile inatoa machaguo zaidi ya 1000 kwa kila mechi ambayo unataka kubashiri iwe Ligi, FA, UEFA na mingine mingi bila kusahau michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Sloti, Aviator, Roulette Poker na mingine.

Afisa Masoko na Mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu amesema kuwa; “Huu ni mwendelezo wa kuongeza maduka ya kubashiri na kuzidi kuongeza huduma zetu ili kuzidi kuwafikia zaidi wateja wetu. Wafanyabiashara na wajasiriamali wote wa Buguruni Malapa wanakaribishwa sana na wote waliokuwa karibu na Buguruni Malapa.”

Unataka ODDS KUBWA? Nenda Buguruni Malapa utakutana na kile ambacho unachokitaka na Meridianbet wanakupa kile amabcho unataka wewe mteja wao, kwani mteja ni mfalme. Lakini pia unaweza Ukaturbo mkeka wako ili kuokoa pesa yako au unataka pesa ya haraka. Yote haya unayakuta hapa hapa Meridianbet.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni na Meridianbet. Unachelewa wapi kujiunga na Meridianbet upate bonasi kubwa kama hiyo uitumie kucheza michezo ya kasino ambayo inayotolewa na Meridianbet na uipendayo wewe mteja wao. Jiunge sasa na Mabingwa ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubetia wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

Wakazi wa eneo hilo wamefurahishwa sana na ujio wa Meridianbet, na wameshukuru sana kwa kuwafungulia Duka jipya la kubashiria katika eneo hilo na watajiunga na Meridianbet kwa ODDS KUBWA na machaguo mengi zaidi.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Sambaza....