Addi Yusuph akiwa katika uwanja wa klabu yake mpya.
Blog

Mpepo kucheza shirikisho, Kessy hamna kitu

Sambaza kwa marafiki....

Mshambuliaji Mtanzania wa Buildcon Fc, Eleuter Mpepo, ataiwakilisha timu yake katika michuano ya shirikisho Afrika msimu ujao.

Buildcon imefanikiwa kupata nafasi hiyo baada ya kushika nafasi ya pili katika ligi kuu ya nchini Zambia.

Kwa upande wa Hassan Kessy, timu yake ya Nkana Fc imeshindwa kufurukuta na sasa haitashikiriki michuano ya Afrika baada ya kushindwa kuongoza au kushika nafasi ya pili katika moja ya kundi la ligi hiyo. Nkana imemaliza katika nafasi ya 7.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.