GUMZO: Nafasi ya Simba African League
Related Posts
10/10 Wachezaji wa Yanga vs Mamelod
Sambaza…. Mechi ya pili ya Robo Fainali Klabu…
Betpawa Yatoa Bilioni 53 Kwa Siku 10!
Kutokana na idadi hii kubwa ya washindi ambayo haijawahi kutokea ilisababisha ucheleweshaji wa malipo katika tasnia nzima ya michezo ya kubashiri
Mimi naomba kuuliza, Bingwa wa haya mashindano anapata faida zipi? Anashiriki Klabu Bingwa Dunia?
Hapana atapaza zawadi kubwa ya fedha lakini hatokwenda popote kuliwakilisha bara la Afrika
Ohhh Simba kwahiyo yumo katika ligi ya kifahari tu
Simba anayo nafasi kubwa ya kupata ushindi katika mchezo huo wa kihistoria wa ufunguzi wa michuao hiyo mipya lakini bado ana mtihani mkubwa na mgumu wakupata matokeo mazuri ya jumla na kufuzu nusu fainali mbele ya wababe hao wa Misri Al Ahly!
All the best Mnyama katika dimba la Benjamin Mkapa hapo Ijumaa, kikubwa ni kupata ushindi mnono hapafu kwenda kuulinda ushindi huo ugenini.
Tuisubiri mechi hiyo, angalau Kandanda mtupe historia ya tiju zinazokutana zilifikaje pia hatua hii.. tukunbushane tu