Sambaza....

Mechi kati ya AS Adema dhidi ya SO I’Emryne iliyopigwa October 31 mwaka 2002 nchini Madagascar inashikilia rekodi ya muda wote ya magoli ya mechi iliyozalisha magoli mengi katika mchezo mmoja.

 

Katika mchezo huo timu ya SO I’Emyrne ilipoteza kwa jumla ya magoli 149 kwa bila. Mara baada ya mchezo huo timu ya I’Emryne ilifungiwa miaka mitatu na wachezaji wanne walifungiwa kutokucheza soka kwa msimu mmoja.


Sambaza....