BlogUsiku wa Balaa!Maka Patrick Mwasomola2 years agoKwa sasa, jana na kesho Simba Sponga ndio babalao na ndio chuo kikuu cha soka bongo. Imefanikiwa kutinga robo fainali tena ya kombe la shirikisho. Balaa lake ni lipi? Soma hii.
Ligi KuuMechi mbili za Morrison bila goli , assist , bila kucheza vizuri !Martin Kiyumbi4 years agoBernard Morrison mpaka sasa inaonekana anadaiwa na Simba
Ligi KuuTutamfukuza Morrison-MO DEWJIMartin Kiyumbi4 years agoTajiri huyo amedai kuwa kwa sasa wameagiza vifaa ambavyo vitaweza kumwambia ni mchezaji yupi ambaye ni mzembe au ni mchezaji yupi ambaye anajituma.
Ligi KuuKwanini MorrisonSekwao Mwendi4 years agoMimi na wewe huenda tunasikia tetesi kuwa Benard Morrison amemwaga wino ndani ya Simba lakini tusiwe na ukweli, lakini hiki ndicho tunaweza kukwambia.
TetesiYanga kuachana na Bernard Morrison?Martin Kiyumbi4 years agoTaarifa za ndani ya klabu ya Yanga zinadai kuwa katika ile orodha ya wachezaji watakaoachwa na klabu ya Yanga na...
Ligi KuuBernard Morrison siyo muhimu -BumbuliMartin Kiyumbi4 years agoSakata la Bernard Morrison na klabu ya Yanga linazidi kupamba kila uchwao , leo hii Afisa habari wa Yanga ,...
Bernard Morrison ni majeruhi – NUGAZMartin Kiyumbi4 years agoHabari ya kwanza ilianza kwa Bernard Morrison kushindwa kusafiri na timu kwenda Shinyanga , na alipopigiwa simu kwa ajili ya...
Morrison ni mali ya Yanga, Simba wanajisumbuaMartin Kiyumbi4 years agoWiki iliyopita baada ya Bernard Morrison kutopokea simu ya kocha mkuu wa Yanga , Luc Eymael na kushindwa kwenda Shinyanga...
Juma Mahadhi arejea kumpiga benchi Morrison !Martin Kiyumbi4 years agoUnaikumbuka mechi kati ya Yanga SC na TP Mazembe pale uwanja wa Taifa ? Mechi ambayo tajiri na aliyewahi kuwa...
Ligi KuuTuwaache tuu wachezaji wa kigeni wabaki 10Ze Mafia4 years agoVuta picha ligi bila udambwi wa Morrison, bila ukabaji wa Yakubu, bila mbwembwe za golikipa ‘handsomeboy.