Wachezaji wa Zaire inasemekana hawakuwahi kulipwa na serikali na pia serikali iliacha kufadhili timu ya Taifa. Pia, hawakuruhusiwa kuondoka nchini na hii ilizuia matarajio yao ya kuhamia vilabu vya Ulaya
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sierra Leone, Musa Noah Kamara maarufu kama 'Musa Tombo’ aliyezaliwa August 06, 2000 maeneo ya Tombo nchini Sierra Leone, alikimbizwa hospitalini baada ya kujaribu kujiua kwa kujichoma kisu tumboni.
Fainali ya Uruguay na Brazili ya mwaka 1950. Soma mfululizo wa makala hizi kama zilivyoaandaliwa na Maka Mwaisomola. Sherehe zialianza mapema kabisa kwa wabrazili.
Kwa sasa, jana na kesho Simba Sponga ndio babalao na ndio chuo kikuu cha soka bongo. Imefanikiwa kutinga robo fainali tena ya kombe la shirikisho. Balaa lake ni lipi? Soma hii.
Vilevile Ghiggia ndiye mchezaji wa mwisho aliyekuwa amebakia wa vikosi vya pande zote mbili vya Brazil na Uruguay vilivyoshiriki katika fainali ile ya kihistoria ya mchezo wa Kombe la Dunia mwaka 1950.
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.