ASFCTigana: Simba atashinda, Mayele amezoeleka!Thomas Mselemu2 years agoYes Mwanza imepata bahati ya kuandaa mtanange huu mkubwa Afrika Mashariki na Kati na uzuri ni kwamba lazima kuwepo na mshindi, huu sio mchezo wa Ligi kwamba uishe sare
Ligi KuuAlli Kamwe: Lengo Yanga na sio Mayele!Thomas Mselemu2 years agoMayele ni mchezaji muhimu kwenye Timu. Yanga inamuhitaji zaidi akiwa Fiti uwanjani kuliko yeye anavyokihitaji kiatu cha Ufungaji bora kabatini kwake.
Ligi KuuKola na mfupa uliomshinda Mayele!Thomas Mselemu2 years agoLicha ya Fiston Mayele kusifiwa na kuoneoana ni moja ya washambuliaji hatari katika Ligi lakini hakufanikiwa kufunga
Ligi KuuGeorge Mpole anaishi ndoto zetu!Thomas Mselemu2 years agojuhudi binafsi za George Mpole na ndio maana utofauti wa mabao ya kufunga na kufungwa ni 1 kwao lakini yeye pekeake Mpole ana mabao 13.
Ligi KuuKola tishio jipya kwa Onyango na InongaThomas Mselemu2 years agoHazikupita siku nyingi Mayele akakutana na Simba na kutiwa mfukoni na Mcongo mwenzake Inonga Baka na kupeleka kuzima mtetemo wake
Ligi KuuMayele alistahili kupiga penati.Thomas Mselemu2 years agoNi kwa mara ya kwanza katika msimu huu Yanga imecheza michezo mitatu mfululizo bila kutoka na ushindi na bila kufunga bao lolote
Ligi KuuKaze au Mayele alaumiwe kwa sare hizi mfululizo?Tigana Lukinja2 years agoUnadhani kuna mpango wa pamoja toka kwa benchi la ufundi na wachezaji labda wakiwemo na viongozi wa kumwandaa na kumtengenezea Mayele.
Ligi KuuYanga yashindwa kuvunja gereza, Mayele aweka rekodi.Thomas Mselemu2 years agoNi kwa mara ya kwanza Yanga wanacheza michezo mitatu mfululizo bila ushindi
Ligi KuuMasau Bwire: Mayele alikua anahangaika uwanjani!Thomas Mselemu2 years agoMayele mliesema anatetema nilisema atatetemeka kwa hofu na mashaka na ndicho kilichotokea uwanjani.
Ligi KuuAli Kamwe: Mabeki wa Namungo waliizawadia Yanga ushindi.KandandaTz2 years agoAGGREY MORRIS Mayele alishathibitisha ili umzuie inahitaji AKILI, NGUVU NA UMAKINI MUDA WOTE