BlogHiki hapa kikosi cha kwanza cha Stara kwa Mwalimu Amunike!Thomas Mselemu6 years agoMwalimu Mnigeria Emmanuel Amunike kwa mara ya kwanza anaiongoza Taifa Stars katika mchezo wa mashindano dhidi ya Uganda huku akiwaanzisha...
BlogUshindi wa Stars huu hapa! Waganda ‘watapata tabu sana’!Martin Kiyumbi6 years agoInawezekana mechi ya mwisho kuwakutanisha Uganda na Tanzania ikawa imewapa Uganda nguvu sana. Walikuwa wababe wa Tanzania mbele ya mashabiki...
BlogSi rahisi Stars kuepuka kichapo pale Namboole dhidi ya CranesBaraka Mbolembole6 years agoNI kikosi gani na mbinu gani atatumia kocha wa Uganda ‘Cranes’ Mfaransa, Sebastien Desabre dhidi ya Tanzania ‘Taifa Stars’ iliyochini...
BlogKiungo wa Uganda awatamani Taifa StarsIssack John6 years agoKiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' Farouk Miya amesema atajitoa kwa nguvu katika mchezo wa kundi...
BlogYondani aachwa Stars!Thomas Mselemu6 years agoZikiwa zimebakia takribani siku mbili tu kwa Stars kucheza na Uganda jijini Kampala beki wa kati wa klabu ya Yanga...
BlogTanzania inaenda Uganda ikiwa na umbo la ArgentinaMartin Kiyumbi6 years agoKuna vitu vingi sana vya kuvutia katika dunia ya leo, dunia tunayoishi ni moja ya kitu bora kuwahi kutokea ambacho...
BlogTaifa Stars kuifuata Uganda AlhamisIssack John6 years agoKikosi cha timu ya Soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinaendelea kujichua jijini Dar es salaam kwa ajili ya...
BlogAishi ndiye aliyewaondoa Erasto, Kapombe, Dilunga, Kichuya na Mkude Stars, au ni Amunike, Simba, TFF au muda?Baraka Mbolembole6 years agoKOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars) Mnigeria, Emmanuel Amunike amewaondoa kikosini wachezaji watano kati ya...
BlogNyota wa Simba waondolewa Taifa StarsIssack John6 years agoKocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) Emmanuel Amunike amewaondoa kikosini wachezaji sita wa timu...
TahaririTunawekeza ubora wa paa la Taifa Stars na kusahau msingi.Martin Kiyumbi6 years agoFikiria neno "hatua" ni neno dogo lakini ndilo limebeba tafasri halisi ya neno maendeleo. Maendeleo ni wingi wa hatua zinazopigwa...