AFCONAFCON 2027, Tutafaidika PakubwaVicent Crement7 months agoBaada ya Miaka 51 Kombe la Mataifa ya Afrika linarudi tena katika ukanda wa Afrika Mashariki, baada ya kufanyika nchini Ethiopia.
AFCONTaifa Stars: Tunaitaka Afcon ya Ivory Coast.Mwandishi Wetu8 months agoStars watashuka dimbani nchini Algeria kusaka alama moja tu ambayo itawafanya kufuzu katika kundi hilo sambamba na Algeria na kuwaacha Uganda na Niger
AFCONNi Hesabu Ngumu na Roho Ngumu Ndio Vitaipeleka Stars Afcon.Vicent Crement11 months agoMwisho tutasema Am Sorry and Thank You Uganda. Ni ngumu lakini inawezekana. Let’s go Taifa Stars.
AFCONCAF yaipa tarehe ya Afcon Tanzania.Mwandishi Wetu1 year agoKwa Tanzania sasa inatafuta kufuzu kwa mara ya tatu na mara ya mwisho kushiriki michuano hiyo ilikua ni mwaka 2019 ambapo tuliaga mashindano katika hatua ya makundi
AFCONStara yafia nyumbani yafifisha matumaini ya kufuzu AfconMwandishi Wetu1 year agoMichezo miwili iliyobaki ya Tanzania ni ule wa nyumbani unaofwata dhidi ya Niger na wa mwisho ugenini dhidi ya vinara Algeria ambao wameshafuzu.
AFCONMsuva: Nafasi ya kufuzu Afcon ipo wazi.Mwandishi Wetu1 year agoKikubwa kesho tunatakiwa tupambane ili tuweze kukaa vizuri kwenye kundi letu maana timu zote bado zina nafasi ya kusonga mbele na kufuzu
AFCONKapombe na Tshabalala wamerudi bwanaMwandishi Wetu1 year agonafasi zao zilizibwa na Dickson Job na Novatus Dismas ambao kiasili si walinzi wa pembeni licha ya kucheza vyema katika mchezo huo wa ugenini.
AFCONOkwi hakustahili kupata dakika nyingi dhidi ya StarsMwandishi Wetu1 year agoVijana wa Micho sasa wako mkiani mwa Kundi F wakiwa na pointi moja kutoka kwa pointi tisa baada ya michezo mitatu
AFCONUganda wataja kikosi chao kuelekea mechi na TanzaniaMwandishi Wetu1 year agoUganda wanakwenda kucheza michezo miwili dhidi ya mahasimu wao Tanzania ambapo itawalazimu kucheza michezo yote nje ya kwao Uganda
BlogHuyu ndiye Oliveira, huenda akaiongoza Simba ScMagessa JR1 year agoVipers Fc, klabu kutoka Uganda masaa mawili yaliyopita imetangaza kuachana na kocha wao mkuu, Robertinho Oliveira Gonçalves do Carmo (1960).