Blog

Huyu ndiye Oliveira, huenda akaiongoza Simba Sc

Sambaza....

Vipers Fc, klabu kutoka Uganda masaa mawili yaliyopita imetangaza kuachana na kocha wao mkuu, Robertinho Oliveira Gonçalves do Carmo (1960).

Kocha huyo mzaliwa wa Brazili, alikuwa akiifundisha Gor Mahia ya Kenya kabla ya kujiunga na Vipers.

Anatajwa kuja kujiunga na Klabu ya Simba Sc. Mtandao wako umekuwekea taarifa za kocha huyu.

Jina Kamili: Robertinho Oliveira Gonçalves do Carmo
Kuzaliwa: 22nd June 1960
Alikozaliwa: Rio de Janeiro, Brazil

Klabu Alizocheza:

1978–1982: Fluminense (Brazil)
1983: Flamengo (Brazil)
1984: Palmeiras (Brazil)
1985–1986: Flamengo (Brazil)
1987: Internacional (Brazil)
1988: Sport (Brazil)
1989: Atlético Mineiro (Brazil)
1989–1993: Nacional (Portugal)
1994–1995: Grössembacher (Brazil)

Tinu ya taifa: Brazil (1980)

Timu Alizofundisha

1995: Grössembacher (Brazil)
1995–1997: Rio Branco (Brazil)
1998–1999: Brasil de Pelotas (Brazil)
1999–2000: São Bento (Brazil)
2000–2002: Fluminense (Brazil)
2003: Clube de Regatas Brasil (Brazil)
2003–2004: Centro Sportivo Alagoano (Brazil)
2004: America (Brazil)
2004–2005: Rio Branco (Brazil)
2005–2008: Stade Tunisien (Tunisia)
2008–2009: Kazma (Kuwait)
2009: Al-Shamal (Qatar)
2009–2010: Hammam-Sousse (Tunisia)
2010–2011: Legião (Brazil)
2012–2013: Stade Gabèsien (Tunisia)
2013–2014: Grombalia Sports (Tunisia)
2014–2016: Atlético Sport Aviação (Angola)
2018–2019: Rayon Sports (Rwanda)
2020 -2021: Gor Mahia (Kenya)
2021 – Vipers


Sambaza....