AZIZ KI vs KIBU DENIS
Yanga na Simba zinakutana katika mzunguko wa pili…
Yanga na Simba zinakutana katika mzunguko wa pili…
Mtandao wako wa kandanda.co.tz umekuwekea kanuni za Ligi…
Katika misimu sita iliyopita ikiwa pamoja na mwaka huu, klabu ya Simba imejivunia zaidi ya alama 457.
Vipers Fc, klabu kutoka Uganda masaa mawili yaliyopita imetangaza kuachana na kocha wao mkuu, Robertinho Oliveira Gonçalves do Carmo (1960).
Taarifa zilizopo sasa ni kuwa Feisal Salum “Fei Toto” anaelekea kujiunga klabu ya Azam Fc yenye makazi yake pale chamazi.
Walipofuzu kuingia makundi ya mashindano hayo, walinuna. Wao ni wakubwa wakajiona wameshuka chini. Wakashiriki hatua ya makundi na kuingia robo fainali bila shangwe
Simba inefanikiwa kusonga mbele baada ya kuitandika Nyasa Big Bullets kutoka Malawi.
Wakati wa mechi hii na baada ya mechi wapigie kura wachezaji wako watatu.
Uchambuzi huu mfupi umetolewa katika ukurasa wa wapendasoka facebook. Unatazama ubora wa namna ya chezaji wa klabu ya Arsenal na udhaifu wake.
Klabu ya Simba ilimtangaza Juma Mgunda kutoka Coaatal union kwa muda, Sady anachambua uamuzi huo.