Subscribe
Login
0 Maoni
Klabu ya Yanga inaongoza msimamo wa ligi huku mtani wake Simba Sc nsye akiendelea kula viporo vyake kwa ustadi mkubwa.
Tazama msimamo huu wa ligi hapa chini, na tujadili mada yetu ya siku ya leo. Karibuni..
Pos | Timu | P | GD | Pts |
---|---|---|---|---|
1 | Simba SC | 38 | 62 | 93 |
2 | Yanga SC | 38 | 29 | 86 |
3 | Azam FC | 38 | 33 | 75 |
4 | KMC FC | 38 | 15 | 55 |
5 | Mtibwa Sugar FC | 38 | 2 | 50 |