Kuna usemi usemao ” Simba akikosa nyama hula majani”. Usemi….Stori zaidi.
Mchezo wa soka ni mchezo wa rekodi, pengine ndio mchezo wenye rekodi nyingi kuliko mchezo wowote ule ulimwenguni. Zipo rekodi zilizowekwa, zipo zinazowekwa na kuna ambazo zitakuja kuwekwa katika siku zijazo.
Yanga na Simba zinakutana katika mzunguko wa pili wa Ligi….Stori zaidi.
vilabu vya Kaskazini vikiojekana kutawala katika nafasi za juu kwenye takwimu hizo zilizotoka
Tutasajili lakini kwa mapendekezo ya mwalimu mpya ambaye tutamtangaza karibuni.
hakuwahi kupoteza mchezo hata mmoja wa Ligi lakini kipigo cha mabao matano kutoka kwa Mtani kimemfanya kupoteza kibarua chake
Mara ngapi walimuona Shomari analia vile hadharani? Tena kilio cha kwikwi? Ni mara ngapi?
anaamini wanakwenda katika mchezo mzuri na anajua Afrika mzima inakwenda kutazama kandanda safi na la kuvitia.
Nae kocha mkuu wa Simba Robert Oliveira ambae ameifunga Yanga mara mbili mwaka huu amesema anajua ni mchezo mgumu
Uwepo wa uwekezaji mkubwa katika Ligi yetu umewavutia wachezaji wao ambao wapo nchini lakini pia sababu za kifedha