Makapu ni bora kuliko ‘Fei Toto’ vs Simba
SAID Juma Makapu aliingia uwanjani dakika za mwisho wakati Yanga SC ilipoendeleza ushindi wa asilimia 100 Jumapili iliyopita. Yanga ilishinda kwa mara ya nne mfululizo baada ya kuichapa Singida United 2-0 katika uwanja wa Taifa na Makapu aliingia dakika kumi za mwisho kuchukua nafasi ya Feisal Salum ‘Fei Toto.’ Feisal...