Baraka Mbolembole

Mwandishi na Mchambuzi mkongwe na aliyebobea katika familia ya kandanda. Baraka anandika habari na uchambuzi wenye tafakari na jicho la tatu ndani yake. Ukimuelewa utapata ‘madini’ mazuri kutoka kwake, kwake yeye ‘spedi’ ni ‘spedi’ na ‘kijiko’ ni ‘kijiko’.
Ligi Kuu

KMC tujiulize, kuna tatizo gani hatupati matokeo?

KIUNGO wa zamani wa Real Kings ya Afrika Kusini, Coastal Union, Simba SC, Azam FC, Mtibwa Sugar FC, na Ashanti United, Abdulhalim Humud amesema anaamini kikosi chao cha KMC FC kitanyanyuka kuanzia Jumamosi hii na kuachana na matokeo ya sare. KMC ambayo inacheza ligi kuu kwa mara ya kwanza itaikabili...
Mashindano

Licha ya ushindi, Stars inakazi ngumu.

USHINDI wa 2-0 ambao timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars) imeupata jana Jumanne dhidi ya Cape Verde Islands umefufua matumaini ya Stars kufuzu kwa fainali za kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika nchini Cameroon hapo mwakani. Stars imefika alama tano katika kundi L na kukamata nafasi ya pili...
Blog

Kumrudisha Nyoni Stars haitoshi.

MLINZI na ‘kiraka’, Erasto Nyoni amerejeshwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars) ambacho kitashuka dimbani kuwavaa Cape Verde Island katika mchezo marejeano kuwania nafasi ya kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika 2019-fainali ambazo zitafanyika nchini Cameroon. Kuitwa tena kwa Erasto, upande wangu ni jambo...
Ligi KuuUhamisho

Vicent Bossou; Nipo tayari kurejea Yanga

MLINZI wa kati wa Kimataifa wa Togo, Vicent Bossou amesema yupo tayari kurejea Tanzania kucheza soka lakini kipaumbele chake kikubwa ni klabu yake ya zamani Yanga SC na Azam FC iliyo chini ya Mholland, Hans van der Pluijm. Akizungumza na www.kandanda.co.tz akiwa Vietnam anakocheza hivi sasa mlinzi huyo mwenye uwezo...
Ligi Kuu

Mechi tisa tu, Ndanda FC wanashindwa kusafiri?!

BAADA ya kucheza michezo tisa kati ya 38 wanayotakiwa kucheza msimu huu katika ligi kuu Tanzania, timu ya Ndanda FC ya Mktwara imekuwa klabu ya kwanza kushindwa kusafiri kutokana na ‘ukata’. Ndanda baada ya kuchapwa 3-1 na Singida United katika mchezo uliopita walishindwa kuomndoka mjini Singida kutokana na sababu za...
Blog

Simba wameshahau Matola ni ´fotokopi´ ya Djuma ?

KLABU ya Simba Simba SC ipo karibu kumtangaza nahodha wao wa zamani, Suleimani Matola kuwa kocha msaidizi wa mabingwa hao watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara. Hapana shaka kuhusu uwezo wa Matola kiufundishaji. Matola ni mtu wa Simba hasa, mshindi kiuchezaji na ndiye nahodha aliyefanikiwa kutwaa mataji mengi zaidi katika...
1 8 9 10 11 12 14
Page 10 of 14