Baraka Mbolembole

Mwandishi na Mchambuzi mkongwe na aliyebobea katika familia ya kandanda. Baraka anandika habari na uchambuzi wenye tafakari na jicho la tatu ndani yake. Ukimuelewa utapata ‘madini’ mazuri kutoka kwake, kwake yeye ‘spedi’ ni ‘spedi’ na ‘kijiko’ ni ‘kijiko’.
Ligi Kuu

Nani ‘nyanya‘? Klaus 4-3 Stand,au Manula 3-3 Stand? kwanza tuipongeze Stand

MCHEZO wa Yanga SC 4-3 Stand United katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana Jumapili umeweka rekodi kadhaa bora na za kuvutia katika ligi kuu Tanzania Bara msimu huu. Mshambulizi, Alex Kitenge alifunga magoli matatu kwa mpigo na si Hivyo tu, amefunga ‘Hat Trick‘ ya kwanza ya msimu katika...
Blog

Hiki ni ‘kirusi‘ kinachopaswa kuangamizwa haraka Yanga SC

Kama uongozi wa juu unatangaza na kufanya uhamasishaji mkubwa kwa wanachama na wapenzi wa klabu kuichangia timu yao nani mwingine anayejitokeza na kuisemea klabu kwamba ‘neema‘ imerejea? Boaz Ikupilika- mwenyekiti wa matawi ya klabu ya Yanga SC anapaswa kuelewa ana fanya makosa makubwa- pengine anaihujumu klabu yake kwa taarifa ambazo...
Blog

Si rahisi Stars kuepuka kichapo pale Namboole dhidi ya Cranes

NI kikosi gani na mbinu gani atatumia kocha wa Uganda ‘Cranes’ Mfaransa, Sebastien Desabre dhidi ya Tanzania ‘Taifa Stars’ iliyochini ya Mnigeria, Emmanuel Amunike katika mchezo wa kundi la tatu Jumamosi hii kufuzu CAN 2019 katika uwanja wa Namboole, Kampala hakika sifahamu, lakini nataraji kuona mchezo wa kasi kutoka kwa...
Ligi Kuu

Yanga SC: TFF wanajua ukweli kuhusu MO Banka, waseme…

Kaimu katibu mkuu wa Yanga SC, Omary Kaya amenukuliwa kwamba Shirikisho la soka nchini (TFF) ndiyo wanaoweza kuzungumza kuhusu kufungiwa kwa kiungo wao Mohamed Issa ‘Banka‘ Mara baada ya tovuti hii (kandanda.co.tz) kuhoji kwanini Banka hajaanza kuitumikia Yanga iliyomsajili katika usajili uliofungwa hivi karibuni. Mengi yamekuwa yakisemwa kuhusu mchezaji huyo wa...
1 11 12 13 14
Page 13 of 14