Yanga imeshindwa kwa mara nyingine kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Cup baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Kariobangi Sharks ya nchini Kenya.
Alliance wanashuka dimbani jumapili hii kucheza na Mbeya City kwenye uwanja wa Nyamagana wakitoka kupata alama moja dhidi ya Tanzania Prisons baada ya sare ya bao 1-1
Amecheza michezo 54 kwenye timu ya Taifa ya Uholanzi akifunga mabao nane, pia aliwahi kuwa kwenye kikosi hicho kilichocheza mchezo wa fainali na Uhispania katika kombe la dunia mwaka 2010.