Azam waingia vita ya kumnasa Salamba, Lipuli wathibitisha
Klabu ya soka ya Lipuli imethibitisha kupokea barua kutoka katika vilabu viwili vikubwa vya Young Africans na Azam FC za kumuhitaji mshambuliaji wao kinda Adam Salamba. Lipuli ambao hapo jana walikanusha kupokea barua kutoka Yanga, wamethibitisha kupokea barua kutoka katika miamba hiyo ya soka nchini na kuongeza kuwa mbali na...