Blog

Nyota Mohamed Aboutrika auhukumiwa kwenda jela.

Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Misri Mohamed Aboutrika amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kukwepa kulipa kodi. Aboutrika anaweza kukwepa kifungo hicho kama atalipa faini ya Dola 1115. Aboutrika hakuwepo mahakani Jijini Cairo wakati hukumu hiyo ikisomwa ambapo alikutwa na hatia ya kukwepa kodi...
Blog

Cole atangaza kutandika daluga.

Kiungo mshambuliaji Joe Cole ambaye amewahi kuhudumu katika timu ya Taifa ya England, na vilabu kama West Ham na Chelsea ametangaza kutandika Daluga baada ya miongo miwili ya kusakata kandanda. Cole mwenye umri wa miaka 37 amecheza zaidi ya mechi 700 kwenye maisha yake ya soka katika vilabu saba tofauti...
Blog

Tuzo za BBC, watano watakaochuana kutangazwa Jumamosi.

Wachezaji watano wa kandanda watakaowania tuzo za mchezaji bora wa Afrika, tuzo ambazo zinatolewa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) wanatarajiwa kutangazwa Jumamosi ya Novemba 17 mwaka huu. Majina hayo matano yatatangazwa wakati wa kipindi maalumu cha Luninga (BBC African Footballer of the Year programme) mjini Lagos nchini Nigeria...
EPL

Sturridge akutwa na hatia ya kuvunja kanuni za michezo ya kubahatisha.

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Liverpool ya Uingereza Daniel Sturridge amekutwa na hatia ya kuvunja kanuni za kubashiri cha chama cha soka England. FA imesema katika taarifa yao kuwa kitendo hicho kimetokea mwezi Januari mwaka huu, ambapo Sturridge anatuhumiwa kuvunja kanuni inayokataza kutoa taarifa za wachezaji, viongozi, uchaguzi wa...
Ligi Kuu

Huu ndio msimamo wa serikali kuhusu uchaguzi wa Yanga.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr Harrison George Mwakyembe ameitaka klabu ya soka ya Yanga kuheshimu maelekezo ya serikali ya kuitaka klabu hiyo kufanya uchaguzi ili kuziba nafasi za viongozi zilizoachwa wazi. Mwakyembe amesema licha ya taarifa za mkanganyiko zinazotoka ndani ya klabu hiyo kwamba aliyekuwa Mwenyekiti kabla...
Blog

Vasilyvev: Henry sio mzima moto.

Makamu wa Rais wa klabu ya soka ya AS Monaco Vadim Vasilyev ameendelea kuonesha kumuamini kocha Thierry Henry licha ya kufanya vibaya katika michezo yake sita ya mwanzo toka alipokabidhiwa kibarua hicho. Vasilyvev amesema hawawezi kumjaza pressure ya kuondoka klabuni hapo kocha huyo ambaye ametoka sare michezo miwili na kupoteza...
BlogSerie A

Gonzalo Higuain aomba radhi.

Mshambuliaji wa AC Milan Gonzalo Huguain amewaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kwa kitendo chake cha kukosa penati lakini pia kupata kadi nyekundu ya kizembe wakati timu yake ikiadhibiwa mabao 2-0 na Juventus katika mchezo wa Seria A jana Jumapili. Gonzalo ambaye alipata nafasi ya kuisawazishia timu yake kwa njia...
Blog

Dylan Kerr kuondoka Gor Mahia.

Taarifa za ndani kutoka kwa Mabingwa wa kandanda nchini Kenya Gor Mahia ni kuwa wanajiandaa na kuondoka kwa Kocha mkuu wa Dylan Kerr. Gor wameanza maandalizi hayo baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa kocha huyo ambaye amewapa mataji mawili ya ligi huenda akaondoka na kutafuta sehemu yenye malisho mazuri zaidi....
1 16 17 18 19 20 34
Page 18 of 34