Mashindano

Kilimanjaro Warriors wapania kupindua Meza dhidi ya Burundi.

Kikosi cha timu ya soka ya Taifa chini ya umri wa miaka 23 ‘Kilimanjaro Warriors’ kesho, Novemba 20, 2018 kitashuka dimbani kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kucheza dhidi ya Burundi kuwania nafasi ya kushiriki michuano ya Afrika mwakani nchini Misri. Kilimanjaro Warriors wanashuka katika mchezo huo wakiwa...
Blog

Eden Hazard ajiondoa tuzo za Ballon d’Or.

Winga wa timu ya soka ya Chelsea ya England Eden Hazard amesema hastahili kuchukua tuzo ya Ballon d’Or licha ya kuwa kwenye kiwango kizuri kwa sasa lakini badala yake mshambuliaji wa Paris Saint Germain na timu ya Taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe ndiye anayestahili. Hazard ambaye mpaka sasa amefunga mabao...
Blog

Onyango: Mechi dhidi ya Cape Verde ni kama fainali kwetu.

Nahodha wa timu ya Taifa ya Uganda "The Cranes" Dennis Onyango amesema Leo watajaribu kucheza kufa na kupona dhidi ya Cape Verde Ili kupata nafasi ya kushiriki kwenye michuano ya Mataifa Afrika kwa Mara ya pili mfululizo. Onyango ameitaja mechi hiyo ambayo itapigwa katika uwanja wa Mandela uliopo Namboole Kama...
Blog

Rasmi: Kerr avunja mkataba wake na Gor Mahia

Klabu ya soka ya Gor Mahia ya nchini Kenya imethibitisha Usiku wa kuamkia leo, kupokea barua ya kujiuzulu kwa kocha mkuu Dylan Kerr aliyedumu katika Klabu hiyo kwa kipindi cha miaka miwili. Mwenyekiti wa klabu ya Gor Mahia Ambrose Rachier amethibitisha taarifa hizo katika tovuti ya klabu kwa kusema kuwa...
Ligi Kuu

Ndayiragije aweka wazi wachezaji atakaowasajili.

Kocha mkuu wa timu ya soka ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) Mrundi Etienne Ndayiragije amesema amependekeza kwa Uongozi kumuongezea wachezaji wanne katika dirisha hili dogo la Usajili ambalo limefunguliwa leo. Ndayiragije amesema anataka kuwa na wachezaji wawili wawili katika kile nafasi na ndiyo maana amepeleka mapendekezo hayo Ili kuweza kujenga...
Ligi KuuUhamisho

Mwashiuya naye kuondoka Singida United.

Kiungo Mshambuliaji Geoffrey Mwashiuya amesema ameshapata ofa kutoka vilabu vitatu mpaka sasa ambavyo vinataka huduma yake katika kipindi hii cha Dirisha dogo la Usajili. Mwashiuya amesema kati ya vilabu hivyo kimoja ni kutoka nje ya nchini na kwamba kutolipwa stahiki zake na waajiriwa wake wa sasa ambao ni Singida United...
1 15 16 17 18 19 34
Page 17 of 34