Blog

Kuuli: Kamati ya maadili ya TFF ni sawa na mahakama ya Kangaroo.

Baada ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumfungia maisha kutojihusisha na soka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi TFF, wakili Revocatus Kuuli, mwenye amejitokeza na kubeza maamuzi hayo Akitaja hukumu hiyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili TFF, Hamidu Mbwezeleni, alisema wamemfungia wakili huyo kutokana na kukiuka...
Ligi KuuUhamisho

Humoud huzengea wake za wachezaji wenzake!

Klabu ya soka ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) imeridhia kuvunja mkataba na kiungo mkongwe Humoud Abdulharim Ali baada ya kuridhika kuwa amekuwa mtovu wa nidhamu kwa kuwatongoza wake na wachumba wa wachezaji wenzake. Akizungumza na mtandao huu katibu msaidizi wa KMC Walter Urio amesema walipata malalamiko kutoka kwa mchezaji anayelala...
Mabingwa Ulaya

Henry apata mashaka, kutopata ushindi kwa Monaco.

Kocha wa timu ya Monaco Thierry Henry amesema haoni wa kumlaumu wakati akiwa hajashinda mchezo wowote toka alipokabidhiwa timu hiyo. Henry amesema kwa sasa wanachoangalia ni mchezo ujao dhidi ya Club Brugge wa ligi ya Mabingwa Barani Ulaya na kwamba anatamani kuona wachezaji wake wakipambana ili kupata ushindi wakati wakizika...
Blog

Timu ya Vijana Zanzibar yatangazwa.

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 Salum Ali Haji, ametangaza kikosi cha awali cha wachezaji 38, kwa ajili ya kujiandaa na Mashindano ya CECAFA ya Vijana yanayotarajiwa kufanyika Uganda Disemba 15-25, 2018 . Kocha Salum ametangaza kikosi hicho kwenye Ukumbi...
EPL

Emery: Tunaikaribia ndoo ya Ubingwa.

Baada ya sare ya bao 1-1 na kiwango mujarabu dhidi ya Liverpool jana usiku, kocha mkuu wa Arsenal Unai Emery amesema wamekaribia kutwaa ubingwa wa ligi kuu England. Emery amekitaja kiwango ambacho wamekuwa wakikionesha kama ni uthibitisho wa kuwa bora na kuimarika tofauti na mwanzoni mwa ligi walipoitwa majina mengi....
Ligi Kuu

Alliance wakanusha kuondokewa na wachezaji.

Uongozi wa Klabu ya soka ya Alliance ya Jijini Mwanza umekanusha taarifa zilizoanza kuenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa timu yao imesambaratika kwa zaidi ya wachezaji sita kuondoka kambini. Akizungumza na mtandao huu Afisa Habari wa Alliance Jackson Luka Mwafulango amesema taarifa hizo zimelenga kuwaondoa mchezoni kipindi ambacho wanajiandaa na...
Blog

Obi atemwa timu ya Taifa.

Nahodha wa timu ya kandanda ya Taifa ya Nigeria 'Super Eagles' Mikel John Obi kwa mara nyingine ameachwa katika kikosi cha timu ya Taifa kinachojiandaa na michezo miwili ya Kimataifa. Obi ambaye alikiongoza vyema kikosi cha Super Eagles katika fainali za Kombe la Dunia mwezi Juni nchini Russia ameachwa na...
Ligi Kuu

Idd Suleiman: Mbao hawakutuzidi chochote.

Mshambuliaji wa timu ya Kandanda ya Mbeya City Idd Suleiman amesema kuongoza mabao Mawili Dhidi ya Mbao FC na baadae kutoka sare ilikuwa ni sehemu ya mchezo na kwamba hakuna wa kulaumiwa kwenye timu yao. Idd ambaye alifunga bao la Kwanza katika mchezo huo ambao ulipigwa kwenye uwanja wa CCM...
Blog

The Cranes kuingia kambini Nov 9, watatu wa TPL wajumuishwa.

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' Sebastien Desabre amewaita kikosini wachezaji watatu wanaocheza Ligi kuu Tanzania Bara Kwa ajili ya michezo miwili ya Kimataifa. Desabre amewaita Nicolas Wadada wa Azam, Emmanuel Okwi na Jjuuko Murushid wote wa Simba SC katika kikosi hicho ambacho kitacheza na Cape...
Mashindano

AWCON 2018: Starlets kuingia kambini na nyota 32.

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Kenya ya wanawake ‘Harambee Starlets’ David Ouma amekitaja kikosi cha awali cha wachezaji 32 ambao wataingia Kambini Jumatatu ya Oktoba 29 kujiandaa michuano ya Mataifa Afrika kwa Wanawake itakayofanyika mwezi ujao nchini Ghana Kikosi hicho kitaingia kambini Jijini Nairobi na kitakuwa na wachezaji...
1 17 18 19 20 21 34
Page 19 of 34