Ligi Kuu

Biashara United wadhamiria kuivua nguo Yanga.

Wengi wameyazungumza haya ya kwamba Yanga ni timu ya kawaida lakini hali inakuwa tofauti hasa pale dakika 90 zinapokamilika, lakini inaonekana kama Biashara United ya Mara wamedhamiria kudhihirisha hili. Meneja wa Biashara United Amani Richard Josiah amesema kikosi chao kinataka kuonesha hilo kuwa Yanga ni timu ya kawaida pale watakapokutana...
Ligi Kuu

Ndikumana aweka wazi mpango mkakati mechi yao dhidi ya Azam

Nahodha wa kikosi cha KMC, Yusuph Ndikumana, ameitaja mechi dhidi ya Azam FC kama mechi muhimu zaidi kwao kwa sasa, hasa ukiangalia nafasi ambayo wapo na uhitaji wao alama tatu muhimu Ili kujinasua sehemu ambayo wapo. Ndikumana, mchezaji wa zamani LLB Academy ya Burundi na Mbao FC ya Mwanza amesema...
BlogLigi Kuu

Ruvu Shooting: Tumepokea salamu za Matola, ila………..

Klabu ya soka ya Ruvu Shooting imeitahadharisha timu ya soka ya Lipuli FC kuwa wasitarajie mteremko katika mchezo wao unaofuata wa Ligi kama iivyokuwa kwa Biashara United kwa kupata ushindi wa mabao 3-1. Ruvu Shooting kupitia kwa Msemaji wao Masau Bwire imesema kwamba imepata ujumbe kutoka kwa kocha msaidizi Seleman...
Ligi Kuu

Wanaume 22 wa Stand United watua Dar kuwaangamiza Azam.

Kikosi cha wachezaji 22 cha Stand United 'Chama la Wana' kimewasili salama Jijini Dar es Salaam Usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya mchezo wa ligi dhidi ya Azam utakaofanyika kesho kwenye uwanja wa Azam Complex. Kocha msaidizi Athuman Bilal amesema kikosi hicho kipo katika hali nzuri ukizingatia kuwa walikuwa...
ASFCBlog

TFF, Milioni 50 za Mtibwa Sugar zipo wapi?!

Mara nyingi tumezoea mtu unapofanya kazi basi utalipwa, ama unapofanya kazi nzuri utapongezwa lakini haipo hivyo kwa klabu ya soka ya Mtibwa Sugar ambao toka wachukue ubingwa wa Azam Sports Federation Cup mwezi Juni mwaka huu mpaka leo hawajalipwa zawadi yao ya Milioni 50. Mtibwa Sugar waliifunga Singida United katika...
Shirikisho Afrika

Mtibwa Sugar wawashukuru Watanzania.

Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar imewashukuru watanzania waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Azam Complex kuiunga mkono wakati wa mchezo wao wa shirikisho Afrika dhidi ya Northern Dynamo ya Ushelisheli. Thobias Kifaru Ligalambwike ambaye ni Afisa habari wa Mtibwa Sugar amesema wameweza kufikia malengo na kupeperusha vyema bendera ya...
1 14 15 16 17 18 34
Page 16 of 34